MUNGU ANAKUWAZIA MEMA KATIKA MAISHA YAKO


Thanks! Share it with your friends!

You disliked this video. Thanks for the feedback!


Added by
48 Views
Mungu anakuwazia mema sana, haijalishi unapopitia, haijalishi changamoto unazopitia kumbuka tu Mungu anakuwazia mema katika maisha yako.
Karibu tujifunze katika somo hili, somo hili pia lilisikika kupitia kipindi cha radio cha Njia ya Uzima kinachoandaliwa na huduma ya eChurch Global na kurushwa na radio Rehoboth FM 107.2 Stavanger Norway. Pia unaweza kusikiliza kipindi kupitia www.radiorehoboth.org kila siku ya Jumamosi saa 2 usiku Norway na saa 3 usiku Afrika mashariki.
Category
STAVANGER
Commenting disabled.